*Anti Human Trafficking Movement* imeendelea leo na *School Awareness Tour

*Anti Human Trafficking Movement* imeendelea leo na *School Awareness Tour* kwa kutoa elimu dhidi ya ulanguzi wa binadamu katika shule ya *ipembe Secondary. Kesho tutakuwa *Chief senge Secondary* – tukutane huko tukiendeleza kaulimbiu yetu:
*“LINDA KIZAZI, KATA MNYORORO WA ULANGUZI”.*
Elimu hii ni mwanga wa ukombozi kwa kizazi.

Baadhi ya wanaharakati wa kupinga masuala ya ulanguzi wa binadamu.

*Anti Human Trafficking Movement* imeendelea leo na *School Awareness Tour* kwa kutoa elimu dhidi ya ulanguzi wa binadamu katika shule ya *ipembe Secondary. Kesho tutakuwa *Chief senge Secondary* – tukutane huko tukiendeleza kaulimbiu yetu:
*“LINDA KIZAZI, KATA MNYORORO WA ULANGUZI”.*
Elimu hii ni mwanga wa ukombozi kwa kizazi

About MWESI MEDIA

Asante Mfuatiliaji wa Mwesi Media Ukiwa na Maoni au Jambo lolote Kuhusu Taarifa Zetu Tafadhali Wasiliana nasi 0757 056 462 Asante na Endelea Kubaki nasi.

0 Comments:

Post a Comment